Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2017

Nyuki

Nyuki anaweza kutua salama mahali popote bila tatizo. Anawezaje kufanya hivyo? Fikiria jambo hili: ili atue salama, nyuki anahitaji kupunguza mwendo wake kabisa kabla ya kugusa mahali anapotaka kutua. Nija moja rahisi ingekuwa kupima kasi yake na umbali wa kufika pale anapokusudia kutua, kisha punguze kasi hiyo hatua kwa hatua kulingana na umbali uliobaki. Hata hivyo, njia hiyo ni ngumu kwa wadudu wengi, kwa sababu wana macho ambayo hayawezi kupima umbali. Macho ya nyuki yanaona kwa njia tofauti sana na ya mwadamu anayeweza kuona na kukadiria umbali. Inaonekana nyuki hutumia njia rahisi ya kwamba kadiri anavyosogelea, kitu hicho kinazidi kuonekana kikubwa. Kadiri anavyozidi kukikaribia, kinazidi kuongezeka ukubwa kwa kasi zaidi. Uchunguzi uliofanywa na Australian Nationl University unaonyesha kwamba nyuki hupunguza mwendo wake ili kasi ya kuongezeka ukubwa wa kitu anachotazama ibaki vilevile. Anapilofika mahali alipikusudia kutua, mwendo wake unakuwa umepungua sana, na hivyo kumwe...

Tembelea inchi ya hispania

Lugha kuu: kihispania, kibasque, kikatalani, kigalisiani na kivalencia Idadi ya watu: 46, 439, 000. Miji mkuu Madrid Hali ya hewa: hutofautiana, kuna majira ya kiangazi na ya baridi kali Hispania ni inchi yenye watu wa jamii mbalimbali na mandhari tofauti tofauti. Maeneo mengi nchini humo hulimwa ngano, mizabibu, na mizeituni. Upande wa kusini, hispania imetenganishwa na bata la afrika na sehemu ya bahari yenye upana wa kilometa 14. Watu wengi kutia ndani wafoinike, wagiriki, na wakarthage walihamia nchi hiyo iliyo kaskazini magharibi mwa bara la ulaya. Waroma walipoiteka inchi hiyo ktk karne ya tatu k.w.k., waliita hispania. Kisha, wakigothi na waarabu waislamu walihamia nchini humo, nao waliacha kumbukumbu za tamaduni zao. Hivi katibuni ktk kipindi cha mwaka mmoja, zaidi ya watalii milioni 68 walitrmbelea Hispania. Wengi hutembelea Hispania ili wafurahie kuota jua, fukwe maridadi, sanaa, historia, na majengo Jiji la toledo lina historia na utamaduni mwingi wa inchi ya hispan...

Mzigo wa Magazeti 28, oct 2017

Magonjwa ya kuambukiza

Kagonjwa ya kuambukiza yapi ya aina nyingi. Magonjwa hayo huenezwa kwa njia mbalimbali. Ili kuzuia kueneza ni muhimu kuzibgatia usafi wa mtu binafsi na wa mazingira. Magonjwa hayo ni kama vile, kuhara, kichocho, malaria nk Kuhara Huuni ugonjwa unaoletwa na vijidudu vinavyosababisha uvimbe wa tumbo. Ni ugonjwa wa kwenda haja kubwa mara nyingi kupita kiasi kwa siku moja Dalili . mgonjwa hujihisi msokoto wa tumbu . Huenda haja kubwa laini sana mara nyingi kwa siku ( mara sita au zaidi ) . Ulimi huwa mkavu . Wakati mwingine huweza kutapika. Ugonjwa unavyoenea Kuhara ni ugonjwa unaoenezwa kwa kunywa maji machafu. Pia ntu akila chakula kilichoguswa na inzi huweza kuharisha. Jinsi ya kujikinga na kuhara . Ili kujikinga na ugonjwa wa kuhara zingatia mambo yafuatayo . kunywa maji safi na salama . Tumia choo kwa haja kubwa na ndogo . Funika chakula ili inzi asiguse . Nawa mikono kwa sabuni kabla na baada ya kula . Safisha na menya natunda kabla ya kuyala Nimekupa bahazi ya ma...

Umuhimu wa kazi za nyumbani kwa watoto

Ktk baadhi ya familia watoto wanatarajiwa wasaidie kufanya kazi za nyumbani, nao hufanya hivyo bila kulalamika. Ktk familia nyingine, wazazi wamepuuza jambo hilo na watoto wanafurahi kwamba hawapewi kazi. Watafiti wameona kwamba hali hiyo imeenea sana ktk nchi za magharibi, ambako watoto wanaonwa kuwa watoaji. Mzazi anayeitwa steven alisema hivi: " leo, watoto huachwa wacjeze michezo ya video, watumie inteneti, na kutazama televisheni. Wanatarajiwa kufanya mambo machache sana ." wewe una maoni gani ? Je, kweli kazi za nyumbani ni muhimu ili kudumisha hali nzuri ya nyumbani na vilevile ktk ukuzi wa mtoti ? Mambo unayo hitaji kujua Baadhi ya wazazi husita kuwapatia watoto wao kazi za nyumbani, hasa ikiwa tayari ratiba ya juma ya mtoto ina mambo mengi kama vile kazi za shuleni na utendaji wa baada ya shule. Hata hivyo, fikiria za kufanya kazi za nyumbani. - kazi za nyumbani huchangia ukuzi wa mtoto. - kazi za nyumbani huwaandaa watoto kuwatumikia wengine - kazi za nyumb...

Biblia

Je, unaamini kwamba biblia ni kitabu cha mungu? Au je inafikiri kwamba ni kitabu tu kilichojaa mawazo ya wanadamu ? Huo ni mhadala unaoendelea hata kwa wale wanaodai kuwa wakristo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa nchini marekani na kampuni inayoitwa Gllup mwaka wa 2014, ulionyesha kwamba watu wengi ambao ni wakristo wa akawaida wanaamini kwamba " kwa upande mwingine, utafiti huo ulionyeaha kuwa, mtu mmoja kati ya watano waliohojiwa anaamini kwamba Biblia ni kitabu chenye " hekaya za kale, mafumbo, historia, na mafundisho ya wanadamu. " maoni hayo yenye kupingana yanafanya tufikirie kwa makinikile kinachomaanishwa hasa na usemi, Biblia ' imeongozwa na roho ya mungu .' 2 Timotheo 3:16 Imeongozwa na roho ya mungu jinsi gani Biblia ina vitabu vidigo 66, ambavyo viliandikwa na watu wapatao 40 kwa kipindi cha miaka 1,600 hivi. Lakini ikiwa Biblia iliandikwa na wanadamu, ni kwa njia gani " imeongozwa na roho ya mungu " ? Kw ufupi usemi, Biblia 'imeongoz...

Fisi maji wa baharini

Wanyama wengi wanaoishi ktk maji ya baridi wana tabaka jembamba la mafuta lililo ndani ya ngozi linalowasaidia kudumisha joto. Lakini fisi maji wa baharini hutumia mbinu nyingine. Yeye hutegemea manyoya yake yaliyobabana. Fikiria jambo hili: manyoya ya fisi wa baharini yamebanana zaidi kuliko ya mnyama mwingine yeyote. Ana manyoya karibu milioni moja ktk kila inchi ya mraba ( 155,000 kwa kila sentimita ya mraba ) Anapoongelea, manyoya yake huungana na kufanyiza tabaka la hewa katikati ya manyoya na ngozi yake. Hivyo, tabaka hilo la hewa huwa kama koti linalomkinga, kwa kuzuia maji ya baridi kugusa moja kwa moja ngozi yake na hivyo kuathiri joto la mwili. Wanasayansi wanaamini kwamba kuna jambo tunaloweza kujifunza kutokana na manyoya ya fisi maji wa baharini

Jina zuri ni bora kuliko utajiri mwingi

Jina zuri, au heshima, lina thamani sana hivi kwamba ktk baadhi ya nchi linalindwa kisheria. Hilo linaweza kutia ndani kulinda jina lisichafuliwe kupitia maandishi au kwa maneno. Jambo hilo linatukumbusha usemi huu wa kale; " Ni afadhali kuchagua jina badala ya utajiri nwingi; kibali ni bora kuliko hata fedha ba dhahabu." ( methali 22:1 ) Tunaweza kufanya nini ili tuwe na jina zuri na kuheshimiwa na wengine ? Mapendelekezo bora zaidi yanapatikana kwenye Biblia. Kwa mfano, fikiria yale ambayo Biblia inasema ktk ( zaburi ya 15 ) ili kujibu swali, " Ni nani atakayekuwa mgeni ktk hema la [ Mungu ] ? " Mtunga zaburi aliandika hivi: " yeye..... [ anayezoea ] kutenda uadilifu na kusema kweli ktk moyo wake. Yeye hakuchongea.... Hakumfanyia mwenzake jambo lolote baya, wala hakumshutumu rafiki yake. Machoni pake mtu yeyote nwenye kudharaulika hakika amekataliwa.... Ameapa juu ya jambo lililo baya kwake, na bado yeye habadiliki... Wala hakuchukua rushwa. " ( z...

Mzigo wa magazeti Oct 20, 2017

Pongezi kwa rais wangu

Ktk maisha, tunaona mengi, tunasikia mengi, tunaona picha nzuri na mbaya na tunasikia sauti nzuri na mbaya. Kwa nini nisipongeze pale ninapo ona picha nzuri yenye sauti nzuri, ukweli rais wetu anaitaji pongezi pamoja na maombi anayotuomba kila siku tumuombee. Hii ni mwanzo tunaitaji kuondoa tofauti zetu ili tujenge taifa letu. Tanzania kwanza, uzalendo pamoja na tamaduni. Lazima tujengane kwa upendo na makala ka hizi ili tumshindi pepo anayeitwa shetani kanipitia. Fahamu kuwa ujenzi wa Taifa sio wa rais pekee yake hapana, wewe unaitajika, uzalendo wako ni tosha kabisa hatakama huna elimu ya juu Kumbuka kuwa, Tunaweza kutimiza ndoto zetu za maisha tukiwa ktk inchi yenye amani na upendo. Ndugu, unaitajika kuwa mzarendo kaka dada mama na ndugu zangu pamoja na marafiki pia.