Wanyama wengi wanaoishi ktk maji ya baridi wana tabaka jembamba la mafuta lililo ndani ya ngozi linalowasaidia kudumisha joto.
Lakini fisi maji wa baharini hutumia mbinu nyingine.
Yeye hutegemea manyoya yake yaliyobabana.
Fikiria jambo hili: manyoya ya fisi wa baharini yamebanana zaidi kuliko ya mnyama mwingine yeyote.
Ana manyoya karibu milioni moja ktk kila inchi ya mraba ( 155,000 kwa kila sentimita ya mraba )
Anapoongelea, manyoya yake huungana na kufanyiza tabaka la hewa katikati ya manyoya na ngozi yake.
Hivyo, tabaka hilo la hewa huwa kama koti linalomkinga, kwa kuzuia maji ya baridi kugusa moja kwa moja ngozi yake na hivyo kuathiri joto la mwili.
Wanasayansi wanaamini kwamba kuna jambo tunaloweza kujifunza kutokana na manyoya ya fisi maji wa baharini
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji Malighafi: 1. Sulphonic Acid Lt 2 2. Soda Ash Kg 1 3. Sless Lt 1 4. Chumvi Kg 1 5. Pafyumu /rangi Bluu 6. Maji Lt 35 _ 40 Jinsi ya kutangeneza Anza kwa kuweka lita 10 mara tatu, yaani lita 10 tena na mwisho lita 10, angalia uzito ongeza tena lita 5 na kisha lita 2 ikiwa uzito bado ongeza lita 2 na mwisho lita 1 4. Chumvi kg 1 3. Sless Lt 1 2. Soda Ash Kg1 1. Sulphonics Acid Lt 2 Hapo sijaweka rangi wala pafyumu kwa sababu ukiweka pafyumu lita 35 bila kufunika itaisha baada ya muda mfupi. Ni vema rangi na pafyumu uweke pembeni. Mfano: Chukua ndoo ya lita 10, weka rangi robo kijiko cha chai na pafyumu vijiko vya chakula viwili na koroga vizuri. Ni vema utumie pafyumu aina ya lemon. Sababu za kutoweka rangi sabuni yote: Wapo wateja hawapendi rangi na harufu kwa hiyo utawapa kila mtu kama atakavyo na kujaza kwenye chupa zako zenye mifuniko saa hiyo hiyo ukiachia muda inatoka harufu. Asante sana rafiki.
Maoni
Chapisha Maoni