Sabuni ya kusafisha vyoo
Malighafi.
1. Sulphonics Acid Lita 1
2. Soda Ash nusu 1/2 kilo
3. Sless
4. Chumvi 1/2 kilo
5. Maji lita 17 1/2 _ 20
6. Rangi kijani
7. Pafyumu
8. Formalin
Jinsi ya kutengeneza
Weka maji lita 5 kisha anza kukoroga, ongeza lita 5 kisha lita 5 tena na mwisho lita 2
4. Chumvi 1/2 kg
3. Sless nusu lita
2. Soda ash nusu kilo
1. Sulphonics Acid lita 1
Hapo sijaweka rangi wala pafyumu ni vinzuri kuweka kwenye ndoo lita 10 ya sabuni utaweka rangi kijiko 1 cha chai, rangi ya kijani pafyumu aina ya ' Rose two one ' au pino vijiko 5 vya chakula na Formalin vijiko 3 vya chakula.
Formalin kwa ajili ya kuua wadudu ( bacteria ) ni vinzuri sana kuwemo kwenye sabuni ya chooni kwani ina kazi nyingi zaidi ya hiyo iliyotajwa
Asante sana rafiki sasa chukua hatua ya kufanya hakika utafanikiwa sana
duh
JibuFutaGood ππππππΊ
JibuFutaHakika nitajaribu
JibuFutaKama sina soda Ash naweka nini?
JibuFuta