Ktk maisha, tunaona mengi, tunasikia mengi, tunaona picha nzuri na mbaya na tunasikia sauti nzuri na mbaya.
Kwa nini nisipongeze pale ninapo ona picha nzuri yenye sauti nzuri, ukweli rais wetu anaitaji pongezi pamoja na maombi anayotuomba kila siku tumuombee.
Hii ni mwanzo tunaitaji kuondoa tofauti zetu ili tujenge taifa letu.
Tanzania kwanza, uzalendo pamoja na tamaduni.
Lazima tujengane kwa upendo na makala ka hizi ili tumshindi pepo anayeitwa shetani kanipitia.
Fahamu kuwa ujenzi wa Taifa sio wa rais pekee yake hapana, wewe unaitajika, uzalendo wako ni tosha kabisa hatakama huna elimu ya juu
Kumbuka kuwa, Tunaweza kutimiza ndoto zetu za maisha tukiwa ktk inchi yenye amani na upendo.
Ndugu, unaitajika kuwa mzarendo kaka dada mama na ndugu zangu pamoja na marafiki pia.
Maoni
Chapisha Maoni