Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Juventus yamuulizia cahill

Juventus inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa Chelsea na timu ya uingereza gary cahill, kwa mujibu wa the sun. Mabingwa hao wa serie A wameulizia upatikanaji wa beki huyo wa kati wakiwa wanatafuta mrithi wa leonardo Bonucc, ambaye ametimkia Ac milan, Chelsea nao wametajwa kuwa kwenye mchakato wa kutaka kumsajili virgil van Dijk na ujio wake utafungua njia kwa cahill kwenda Juventus

Baba messi afanya mazungumzo na man city

Baba mzazi wa lione messi, jorge ameanza mazungumzo na manchester city ktk harakati za nyota huyo wa Barcelona kutua uingereza 2018, kwa mujibu wa sun Lionel messi asiposaini mkataba mpya msimu ujao anaweza kuondoka kama mchezaji huru, na man city inaonekana kuwa karibu na wawakilishi wa mchezaji huyo

Juve yaungana na Liverpool kumuwinda howedes

Juventus inataka kuingia vitani dhidi ya Liverpool kuiwania saini ya beki wa schalke, Benedikt Howedes kwa mujibu wa habari kutoka Bild. Jurgen kuopp anataka kumsajili mjerumani mwezake kuimarisha safu ya ulinzi ya Liverpool lakini pia anatamani kumpata Leonardo Bonucci

Mokojo ulivyomponza manji mahakamani

Baada ya vipimo vya mkojo kuonyesha kuwa na chembechembe za dawa za kulevya aina ya heroni, mahakama ya hakimu mkazi kisutu, Dar es salaam, imesema mfanya biashara yusufally manji, anaye kabiliwa mashtaka ya kutumia dawa za kulevya ana kesi ya kujibu. Wakati mahakama ikimwona manji ana kesi ya kujibu, upande wa utetezi ukiongozwa na Hudson ndusyepo, umedai kuwa unatarajia kuita mashahidi 15 kupangua tuhuma dhidi ya jamhuri

Jaribio la ndoa "Babu na Mjukuu" lazimwa

Ofisi ya ustawi wa jamii wilayani muheza , Tanga imezima jaribio la wazazi kutaka kumwozesha mtoto wao wa kike mwenye umri wa miaka 17 kwa mtu mzima ambaye hakufahamika jina lake jaribio hilo lilizimwa juzi na kundi la maofisa wa idara hiyo baada ya kuvamia nyumba ya wazazi wa binti huyo muda mfupi kabla ya ndoa kufungwa ktk kitongoji cha mkwajuni kijijini cha mamboleo wilayani hapa

Dortmud, Barcelona wamaliza Dembele rasmi camp Nou

Miamba hiyo ya catalan walikutana na viongozi wa wajerumani hao jana alhamisi jijini monaco, wakati wa upangaji wa ratiba ya ligi ya mabingwa uhamisho huo utakuwa na thamani ya euros 105 millioni wakati wowote kuanzia sasa kiungo wa Dortmund, ous mane Dembelle atasaini mkataba na Barcelona

Beki mwadui aikamia singida united

Kiraka alisema wachezji wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi ktk mchezo huo wa kwanza nyumbani Beki wa mwadui Fc iddy mobby " kiraka " amesema wamejipanga kuhakikisha wanapata pointi tatu za kwanza za ligi kuu Bara