Baba mzazi wa lione messi, jorge ameanza mazungumzo na manchester city ktk harakati za nyota huyo wa Barcelona kutua uingereza 2018, kwa mujibu wa sun
Lionel messi asiposaini mkataba mpya msimu ujao anaweza kuondoka kama mchezaji huru, na man city inaonekana kuwa karibu na wawakilishi wa mchezaji huyo
Maoni
Chapisha Maoni