Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya burudani

Roma mkatoliki afungiwa kufanya muziki

Nina mpasuko kwenye fuvu la kichwa. @Wastara

Mahakama yamhukumu shilole

Tyra Banks amwagana na mzazi mwenzake

Mwanamitindo, Tyra Banks, ameachana rasmi na mzazi mwenzake. Banks na Erik Asla walikuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu hadi kupata mtoto wa kiume. Mtandao wa page six, umeeleza kuwa wawili hao wamekubaliana kuendelea kushirikiana ktk malezi ya mtoto wao Chanzo cha habari kimeeleza kuwa kutengana huko kumekuja ndani ya kipindi ambacho wawili hao walikuwa wakijaribu kuweka sawa uhusiano wao ambao ulionekana kuanza kulegalega

Lil wayne: Amefunguliwa kesi ya madai ya kutelekeza mtoto wake wa tano

MWANAMKE MMOJA AMEJITOKEZA NA KUDAI AMEZAA NA RAPA, weezy ikimaanisha huyo ni mtoto wa tano Akidai kumtelekeza mtoto wake aliyezaa naye miaka 15 iliyopita. Watson alidai kuwa uhusiano wake na weezy ulianza mwaka 2011 Mtandao wa TMZ unaeleza kuwa miaka miwili iliyopita, watson, alimpeleka weezy mahakamani kwa kosa hilo na mahakama ikaamuru awe anatoa dola 5, 000 kila mwezi Hadi sasa rapa huyo anawataja watoto wanne, watatu wa kiume na mmoja wa kike kuwa ndio wake watoto hao kila mmoja ana mama yake.

50 Cent kukataa madola ya Donald Trump

RAPA 50 Cent amedai alikataa dau la Dola 500,000 alizoahidiwa kupewa endapo angeshiriki kumpigia kampeni Donald Trump wakati wa kampeni za uchaguzi wa marekani 50 Cent ameeleza hayo wakati alipihijiwa ktk kituo cha Redio cha Us Station Hot 97 na kuelezea mtazamo wake kuhusu uongozi wa sasa wa Trump aliyeshinda uchaguzi huo. Rapa huyo alidai kuwa tangu awali hakuonyesha kuvutiwa naye ndiyo sababu alikataa fedha hizo.