Mwanamitindo, Tyra Banks, ameachana rasmi na mzazi mwenzake.
Banks na Erik Asla walikuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu hadi kupata mtoto wa kiume.
Mtandao wa page six, umeeleza kuwa wawili hao wamekubaliana kuendelea kushirikiana ktk malezi ya mtoto wao
Chanzo cha habari kimeeleza kuwa kutengana huko kumekuja ndani ya kipindi ambacho wawili hao walikuwa wakijaribu kuweka sawa uhusiano wao ambao ulionekana kuanza kulegalega
Maoni
Chapisha Maoni