Juventus inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa Chelsea na timu ya uingereza gary cahill, kwa mujibu wa the sun.
Mabingwa hao wa serie A wameulizia upatikanaji wa beki huyo wa kati wakiwa wanatafuta mrithi wa leonardo Bonucc, ambaye ametimkia Ac milan, Chelsea nao wametajwa kuwa kwenye mchakato wa kutaka kumsajili virgil van Dijk na ujio wake utafungua njia kwa cahill kwenda Juventus
Maoni
Chapisha Maoni