Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Beki mwadui aikamia singida united

Kiraka alisema wachezji wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi ktk mchezo huo wa kwanza nyumbani Beki wa mwadui Fc iddy mobby " kiraka " amesema wamejipanga kuhakikisha wanapata pointi tatu za kwanza za ligi kuu Bara

Maoni