Baada ya vipimo vya mkojo kuonyesha kuwa na chembechembe za dawa za kulevya aina ya heroni, mahakama ya hakimu mkazi kisutu, Dar es salaam, imesema mfanya biashara yusufally manji, anaye kabiliwa mashtaka ya kutumia dawa za kulevya ana kesi ya kujibu. Wakati mahakama ikimwona manji ana kesi ya kujibu, upande wa utetezi ukiongozwa na Hudson ndusyepo, umedai kuwa unatarajia kuita mashahidi 15 kupangua tuhuma dhidi ya jamhuri
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji Malighafi: 1. Sulphonic Acid Lt 2 2. Soda Ash Kg 1 3. Sless Lt 1 4. Chumvi Kg 1 5. Pafyumu /rangi Bluu 6. Maji Lt 35 _ 40 Jinsi ya kutangeneza Anza kwa kuweka lita 10 mara tatu, yaani lita 10 tena na mwisho lita 10, angalia uzito ongeza tena lita 5 na kisha lita 2 ikiwa uzito bado ongeza lita 2 na mwisho lita 1 4. Chumvi kg 1 3. Sless Lt 1 2. Soda Ash Kg1 1. Sulphonics Acid Lt 2 Hapo sijaweka rangi wala pafyumu kwa sababu ukiweka pafyumu lita 35 bila kufunika itaisha baada ya muda mfupi. Ni vema rangi na pafyumu uweke pembeni. Mfano: Chukua ndoo ya lita 10, weka rangi robo kijiko cha chai na pafyumu vijiko vya chakula viwili na koroga vizuri. Ni vema utumie pafyumu aina ya lemon. Sababu za kutoweka rangi sabuni yote: Wapo wateja hawapendi rangi na harufu kwa hiyo utawapa kila mtu kama atakavyo na kujaza kwenye chupa zako zenye mifuniko saa hiyo hiyo ukiachia muda inatoka harufu. Asante sana rafiki.
Maoni
Chapisha Maoni