Ofisi ya ustawi wa jamii wilayani muheza , Tanga imezima jaribio la wazazi kutaka kumwozesha mtoto wao wa kike mwenye umri wa miaka 17 kwa mtu mzima ambaye hakufahamika jina lake jaribio hilo lilizimwa juzi na kundi la maofisa wa idara hiyo baada ya kuvamia nyumba ya wazazi wa binti huyo muda mfupi kabla ya ndoa kufungwa ktk kitongoji cha mkwajuni kijijini cha mamboleo wilayani hapa
Maoni
Chapisha Maoni