Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

MsikivuMichezo Matokeo Ya EPL Nov 18, 2017

MsikivuMagazeti Nov 18, 2017

Mzigo wa magazeti Nov 10, 2017

Ugonjwa wa kichocho

Kichocho ni ugonjwa unaoshambulia mishipa ya kibofu cha mkojo au tumbo la chakula. Dalili zake Mtu hupata maumivu makali kwenye kibofu wakati wa kukojoa na maumivu makali ya tumbo anapoharisha. Mtu hupungukiwa na damu Mtu hukojoa damu au huharisha kinyesi chenye damu. Mtu kuumwa tumbo mara kwa mara Jinsi ya kujikinga Tumia choo kwa haja kubwa na ndogo Epuka kuogelea, kuoga, kunawa, kulima, kuvua, kucheza, kwenye maji yenye konokono wa kichocho Tumia mazingira yanayozunguka nyumba za kuishi kwa kufyeka vichaka na kufukia madimbwi Asante sana karibu juma lijalo hapa hapa msikivu blog

Mambo ya uchawi

Wachawi wakubwa kwa wadogo, wachawi wenye ushawishi, na wanyonya damu wenye sura za kupendeza, ni baadhi ya wahusika wenye uwezo usio wa kawaida ambao wanatumia ktk vitabu, sinema, na michezo ya video. Kwa nini mambo hayo huwavutia watu wengi? Profesa wa masuala ya jamii, claude Fischer aliandika hivi: " Uwiano wa watu wanaomini mizuka nchini marwkani umeongezeka ktk miaka ya karibuni, kutoka mtu mmoja kati ya kumi hadi mtu mmoja kati ya watatu. Idadi ya vijana nchini humo ambao wamewahi kuwasiliana na wabashiri, wanaoamini utendaji wa pepo, au wanaoamini utendaji wa nyumba zenye majini, ni mara mbili ya watu wazima wanaoamini mambo hayo. Haishangazi kwamba, masimulizi kuhusu watu wenye roho waovu yameanza kurudi tena kwa kiasi. Ktk jarida la the wall street journal, michael calia aliandika hivi: " kuibuka upya kwa habari zinazohusu watu kuwa na roho waovu ktk jamii kumesababishwa na kuenea kwa masimulizi ya mizuka mbweha watu na wanyonya damu ktk miaka ya nyuma. Ripoti...

Ngozi ya chungu wa sahara

Chungu wa rangivya fedha anayeishi katika jangwa la sahara ( cataglyphis bombycina ) Ni mmoja kati ya viumbe wenye uwezo mkubwa wa kuvumilia joto kali. Wakati wa mchana eneo la sahara huwa na jua kali sana hivi kwamba wanyama ambao ni adui za chungu hutumia mwanya huo wa pekuu kutoka shimoni na kujitafutia chakula. Kipindi hicho kinafaa kwani yeye hupata mizoga ya wadudu wengine waliokufa kutokana na joto kali Jambo la kufikiria: Ngozi ya chungu wa rangivya fedha imefunikwa na vinyweleo vya pekee upande wa juu na pembeni, Lakini tumboni hakuna vinyweleo. Vinyweleo ( 1, 2 ) ambavyo humfanya chungu huyo ang'ae, ni vyembamba na vina umbo la pembe tatu (3 ) pande mbili za vinyweleo hivyo zina matuta madogo madogo, wakati upande ule mwingine ni laini. Muundo huu wa pekee hutimiza mambo mawili muhimu. Kwanza huwezesha vinyweleo kuakisi miali ya jua yenye joto. Pili, humwezesha chungu kutawanya joto la mwili wake. Wakati huohuo, sehemu ya chini ya mwili wake isiyo na vinyweleo, hua...