Wachawi wakubwa kwa wadogo, wachawi wenye ushawishi, na wanyonya damu wenye sura za kupendeza, ni baadhi ya wahusika wenye uwezo usio wa kawaida ambao wanatumia ktk vitabu, sinema, na michezo ya video.
Kwa nini mambo hayo huwavutia watu wengi?
Profesa wa masuala ya jamii, claude Fischer aliandika hivi: " Uwiano wa watu wanaomini mizuka nchini marwkani umeongezeka ktk miaka ya karibuni, kutoka mtu mmoja kati ya kumi hadi mtu mmoja kati ya watatu.
Idadi ya vijana nchini humo ambao wamewahi kuwasiliana na wabashiri, wanaoamini utendaji wa pepo, au wanaoamini utendaji wa nyumba zenye majini, ni mara mbili ya watu wazima wanaoamini mambo hayo.
Haishangazi kwamba, masimulizi kuhusu watu wenye roho waovu yameanza kurudi tena kwa kiasi.
Ktk jarida la the wall street journal, michael calia aliandika hivi: " kuibuka upya kwa habari zinazohusu watu kuwa na roho waovu ktk jamii kumesababishwa na kuenea kwa masimulizi ya mizuka mbweha watu na wanyonya damu ktk miaka ya nyuma.
Ripoti moja ilisema hivi " Asilimia 25 hadi 50 ya watu ulimwenguni pote wanaamini kuna mizuka na mizuka ni maarufu sana kwenye vitabu ktk tamaduni nyingi. " Utafiti uliofanywa nchini marekani na maprofesa w masuala ya jamii christopher bader na carson mencke " ulionyesha kuwa asilimia 70 hadi 80 ya wamarekani wanaamini angalau aina moja ya utendaji unaopita uwezo wa wanadamu "
" Burudani zinazohusisha utendaji wa roho waovu au pepo, zinachukua mahali pa wahusika wa kubuniwa kama vile wanyonya damu, mbweha watu, na mizuka "
Maoni
Chapisha Maoni