Makundi yako tayari kuelekea kombe la dunia mwakani huko Russia.
Je unamaoni gani kwa wakilishi wetu misri, Nigeria na wengine?
Nafahamu unapenda maoni yako kusikilizwa hata na jirani yako wa karibu.
Haya ni maoni yangu: ukweli sipendi kuona kila siku bara letu la Afrika liko nyuma kisoka japo tunauwezo wa kuzaisha vipaji vikukwa.
Nina imani kubwa kwa wakilishi wetu kufanya vizuri. Tukiwekeza uzarendo kwenye timu zetu hizi pamoja upendo.
Yangu ndio haya uzalendo pamoja na upendo hizo ndio silaa nzuri kufanya vema mwakani huko Russi
Maoni
Chapisha Maoni