Mapandaji wa farasi mweupe Maono hayo yanaanza hivi: " Nami nikaona, na, tazama! Farasi mweupe, na yule anayeketi juu yake alikuwa na upinde, naye akapewa taji, naye akaenda akishinda na kukamiisha ushindi wake. ( ufunuo 6: 2 ) mpandaji wa farasi mweupe ni nani kitabu hicho hicho cha Bibia cha ufunuo kinamtambuisha, na kinamtaja mpanda farasi huyo wa mbingu ni kuwa "Neno a mungi. " ( Ufunuo 19:11-13 ) Neno ni jina a cheo a yesu kristo, kwa kuwa yeye ni msemaji wa mungu. ( Yohana 1, 1, 14 ) kwa kuongezea, yeye huitwa "mfalme wa wafame na Bwana wa mabwana na pia anaitwa mwaminifu na wa kweli ( ufufuo 19: 11, 16 ) kwa hakika, yesu ana mamlaka ya kutenda akiwa mfalme jasiri wa vita, naye hatumii mamlka yake vibaya au kwa ufisadi. Hata hivyo, maswali fulani yanazuka. Ni nani anayempa yesu mamlaka ya kushinda? ( Ufunuo 6:2 ) Nabii Danieli ktk maono aliona masihi anayefananishwa na " mwana wa binadamu" akipewa " utawala na heshima na ufalme" n...