Chuki ni nini ? Chuki ni mawazo mabaya yanayo kaa ndani ya ufahamu wa mtu.
Kwa nini chuki ? Je mtu anapata wapi chuki ? sokoni hapana, njiani hapana, sasa ni wapi ?
Chuki haipatikani sokoni wala njiani bali chuki inapatikana kwenye vinywa vya watu walioadhiliwa na chuki.
Watu walioadhiriwa na chuki nao wameipata ktk maneno ya watu au malezi ya familia au jumuia ya watu, kwa maana chuki ni roho, chuki sio chukula, chuki inajengwa kwa njia mbili, kwa njia ya maneno na malezi ya familia au jumuiya ya watu.
Watu wenye chuki hawana tofauti na jitu lenye roho mbaya kwa maana wote lengo lao ni moja japo wanatofautiana.
Roho mbaya na chuki zinatofautiana kwa jinsi hii
Roho mbaya ni mtu anayependelea watu wake mfano Anaweza kumfanyia roho mbaya mtu, kumnyima kazi au nafasi ye yote ofisini
Kwa madhumuni ya ndugu yake au rafiki yake kupate nafasi hiyo wewe hukose.
Huyu ndiye mtu mwenye roho mbaya, anaweza kuwa roho mbaya kwako ila kwa wengine ni mtu poa sana.
Sasa mtu mwechuki ni hatari sana kwa jamii na afya yake yeye mwenyewe kwa maana mwenye chuki yuko tayari kujipoteza bila ya sababu, kwanza hana sababu.
Yapo madhala yatakayo itafuna afya yake kwa chuki zake, pamoja na kupunguza urefu wa maisha yake
Madhala yenyeweni
Ubweke
Mawazo ya mgando
Vidonda vya tumbo
Magonjwa ya moyo
Shida kuishi na watu wenye moyo wa upendo
Madhala yapo mengi ila haya ndio madhara makubwa kwa mtu mwenye chuki.
Je wewe unachuki ? Au umewai kukutana na watu wenye chuki kama hapana
Ni vinzuri, ila unapaswa kujikinga ili uweze kuishi maisha marefu
Jinsi ya kujikinga na chuki
- Hepuka vijumuia vya watu wanaotafuta masilai yao wenyewe
- Kumsema mtu kwa siri
- Siasa ya maji takaa
- Malezi
Je umeadhiliwa na chuki kwa njia ya malezi ya familia au jumuia ya watu
Muda ni huu kubari kujishusha chini, jichanganye na watumishi wa mungu, kubari makosa yako, usifiche neno lolote hata sili, penda kufanya mema na kusoma neno la mungu
Hakika utaweza kuishinda roho ya chuki
Asante
Maoni
Chapisha Maoni