Kiungo wa zamani wa chelsea, Oscar, 26, amedai yupo tayari kurudi ktk ligi kuu ya Engkand lakini kwa ajilibya kuchezea chelsea tu ambayo ilimuuza kwenda klabu ya shanghai SIPG kwa dau la pauni 60 milioni.
Oscar amekiri alikwenda china kwa ajili ya kujiongezea kipato kikubwa lakin sio kwa sababu za kisoka kwa sababu tayari alishakuwa na ofa nyingine kutoka klabu kubwa ulaya
Maoni
Chapisha Maoni