STAA WA MANCHESTER UNITED romelu Lukaku sasa kawa tishio wa mabao bare Manchester United. Romelu Lukaku, sasa amefunga mabao 10 ktk mechi tisa tu, Si jambo rahisi sana kwa sababu takwimu zinaonyesha kuna wachezaji wakongwe wameshindwa kufanya hivyo.
Zlatan
( mechi 20, mabao 10 )
Lukaku aliirithi jezi namba 9 ya Manchester United kutoka kwa mshambuliaji mkali w msimu uliopita, Zlatan lbrahimovic, ambaye msimu huu aliwekwa kando kutokana na kuwa na majeraha ya goti.
Martial ( mechi 31, mabao 10 )
Van persie ( mechi 9, mabao 7 )
Wayne Rooney ( mechi 9, mabao 6 )
Dwight yorke ( Mechi 9, mabao 5 )
Ruud vana Nistelrooy ( Mechi 9, mabao 5 ) nk
Maoni
Chapisha Maoni