Liverpool inaangalia uwezekano wa kumnyakua kiungo mahiri kinda mchezeshaji wa Bayer Leverkusen, kai Havertz, 18, baada ya maskauti wa klabu hiyo kumtazama kinda huyo akifunga mabao manne ktk kikosi cha ujerumank chini ya umri wa miaka 19.
Mpaka sasa kinda huyo ameichezea leverkusen mechi nne za Bundesliga huku kipaji chake kikilinganishwa na michael Ballack na mesut ozil.
Maoni
Chapisha Maoni