MWANAMKE MMOJA AMEJITOKEZA NA KUDAI AMEZAA NA RAPA, weezy ikimaanisha huyo ni mtoto wa tano
Akidai kumtelekeza mtoto wake aliyezaa naye miaka 15 iliyopita.
Watson alidai kuwa uhusiano wake na weezy ulianza mwaka 2011
Mtandao wa TMZ unaeleza kuwa miaka miwili iliyopita, watson, alimpeleka weezy mahakamani kwa kosa hilo na mahakama ikaamuru awe anatoa dola 5, 000 kila mwezi
Hadi sasa rapa huyo anawataja watoto wanne, watatu wa kiume na mmoja wa kike kuwa ndio wake watoto hao kila mmoja ana mama yake.
Maoni
Chapisha Maoni