Mwezi wote huu wa oktoba tegemea kumuona kiungo mahiri wa Arsenal, Granit shaka akiwa na viatu gya rangi ya pinki ikiwa ni ishara ya kuwasapoti wanawake wote ambao, wameathirika na kansa ya matiti duniani kote
Shaka ambaye ni staa wa kimataifa wa uswisi alituma ujumbe maalumu ktk mtandao wake wa instagram huku akiwa ameshika viatu vya rangi ya pinki akionyesha huruma yake kwa waathirika wote wa ugonjwa huo.
Maoni
Chapisha Maoni