KOCHA Wa Manchester United, jose mourinho amethibitiaha kuwa kiungo wake, paul pogba atakuwa nje dimba kwa muda mrefu zaidi tofauti na walivyokuwa wakidhani, atarudi kwa kipindi kifupi.
Mourinho alisema kuwa huenda pogba akakaa nje kwa kipindi cha mwezi mzima ama wiki sita zaidi kabla ya kurudi.
Pogba aliumia septemba 12 na mourinho alisema ni pigo kwa klabu kukosa huduma yake.
Maoni
Chapisha Maoni