Chuki ni pale unapowatafasiri watu wengine VIBAYA kwa sababu ya mtazamo mbaya ulionao juu ya watu hao, na uko tayari kufanya chochote kile kuhakikisha watu hao hawafanikiwi, hawafurahi, hawaendelee ktk elimu ama chochote kila wanachokifanya.
Fatana nami ktk story hii ya Bwana mmoja nchini marekani aliyekuwa na chuki na jinsi chuki ilivyomuathiri.
Siku moja nchini marekani mzungu mmoja aliingia kwenye mgahawa na kukuta kuna kijana mmoja mweusi amekaa kwenye kona ya mgahawa huo.
Akaingia ndani na kumwagiza muhudumu awape watu wote chakula kasoro yule kijana mweusi na pesa atatoa yeye.
Muhudumu akagawa chakula kwa watu wote kasoro yule mweusi na kisha akaenda kwa yule mzungu kuchukua malipo.
Yule mzungu akalipa pesa huku akimtizama yule mweusi yule mzungu akalipa pesa huku akimtizama yule mweusi yule akamtizama kwa sura ya bashasha na tabasamu kisha akamwambia yule mzungu asante.
Yule mzungu akachukia inakuwaje yule mweusi anafurahi baadala ya kukasirika
Yule mzungu akamfuata muhudumu na kumuuliza vipi !! Huyu kijana maeusi ni mwendawazimu mbona nafanya yenye kumkera lakini yeye anafurahi na kusema asante.
Muhudumu akamwambia huyo ndio maenye mgahawa
Je umejuvunza nini?? Tujifunze kuondoa chuki mioyoni mwetu kwani ubaya umfanyiao mtu huenda ikawa sababu ya kunufaika kwake na ikawa njia ya kuanguka kwako.
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji Malighafi: 1. Sulphonic Acid Lt 2 2. Soda Ash Kg 1 3. Sless Lt 1 4. Chumvi Kg 1 5. Pafyumu /rangi Bluu 6. Maji Lt 35 _ 40 Jinsi ya kutangeneza Anza kwa kuweka lita 10 mara tatu, yaani lita 10 tena na mwisho lita 10, angalia uzito ongeza tena lita 5 na kisha lita 2 ikiwa uzito bado ongeza lita 2 na mwisho lita 1 4. Chumvi kg 1 3. Sless Lt 1 2. Soda Ash Kg1 1. Sulphonics Acid Lt 2 Hapo sijaweka rangi wala pafyumu kwa sababu ukiweka pafyumu lita 35 bila kufunika itaisha baada ya muda mfupi. Ni vema rangi na pafyumu uweke pembeni. Mfano: Chukua ndoo ya lita 10, weka rangi robo kijiko cha chai na pafyumu vijiko vya chakula viwili na koroga vizuri. Ni vema utumie pafyumu aina ya lemon. Sababu za kutoweka rangi sabuni yote: Wapo wateja hawapendi rangi na harufu kwa hiyo utawapa kila mtu kama atakavyo na kujaza kwenye chupa zako zenye mifuniko saa hiyo hiyo ukiachia muda inatoka harufu. Asante sana rafiki.
Maoni
Chapisha Maoni