Hali ya mtubkuzirai inaweza kusababishwa na mambo yafuatayo;
Maumivu makali.
Ulegevu wa moyo.
Habari za ghafla zilizo njema au mbaya.
Kuona au kusikia mambo ya kuogofya.
Uchovu kutokana na kusimama au kuketi kwa muda mrefu.
mahali penye hewa nzito isiyo safi. kutokwa na damu kwa wingi.
Mimba iliyotunga nje ya mhi wa uzazi na ugonjwa wa kisukari.
Dalili za mtu aliyezirai
. Kupiga miayo kwa mfululizo
. kuona kizunguzungu
. kutokwa na jasho usoni, shingoni na mikononi
. Kupunguza upesi upesi na kuanza kupiteza na fahamu
Huduma ya kwanza
Mlaze chali mgonjwa.
Legeza nguo zake zote, shingoni, kifuani na kiunoni.
Mpatie mgonjwa hewa nyingi safi na zuia watu kusonga.
Mpepee ili kumpatia hewa nyingi zaidi.
Mnawishe uso wake kwa maji safi kama yanapatikana.
Baada ya muda wa dakika 30 kupita bila matokeo, mpeleke mgonjwa zahanati.
Hizi ni bahazi ila zinamanufaha kumpatia mgonjwa .
Asante sana
Maoni
Chapisha Maoni