Pogba alirudi Man United akitokea Juventuns, mahali ambako alifunga mabao 34 ktk mechi 178 alizocheza akitokea kwenye sehemu ya kiungo. Kuonyesha kwamba man united haikufanya biashara kichaa, staa huyo alikuwa mzuri pia ktk kupiga mabao, ambapo ktk mechi hizo alizoicheza juventus, alipiga assti 32.
Kwenye upande wa asisti kama kiungo alizidiwa na viungo watano tu, ulaya nzima na waliokuwa wamemzidi ni Cesc Fabregas, Koke, Toni Kroos, Andres Iniesta na Miralem Pjanic.
Pesa anazoingiza pale man united:
__ Thamani ya kila asisti aliyopiga kwenye EPL Msimu uliopita kulingana na ada aliyonunuliwa
PAUNI 22.25 mil
__ Bonasi atakayovuna kwa msimu huu kwa msimu huu kwa kuendelea kubaki kwenye kikosi cha man united.
PAUNI 3.5 mil
__ Mkwanja ambao alilipwa wakala wake Mino Raiola alipopogwa bei kwenda Old Trafford
PAUNI 41mil
__ Mshahara kwa mwaka
PAUNI 15.8.5 mil
__ Pesa iliyoongezaka kwenye mshahara wake kwa mwaka baada ya timu kubeba Europa League
PAUNI 1,87 mil
__ Mkwanja anaovuta kwenye dili zake na Adidas
PAUNI 31 mil
__ Pesa anazolipwa kwa sura yake kutokea kwenye matangazo ya kibiashara. Imeongezeka kutoka
PAUNI 3, 125 mil
__ Pesa anayolipwa kila siku klabuni Man United
PAUNI 41, 428
__ Mshahara wake wa kila wiki Man United
PAUNI 290,000
Huyu ndiye Pogba a k a Kata Umeme
Maoni
Chapisha Maoni