REAL MADRID Imemgomea staa wake, Cristiano Ronald ambaye anataka alipwe kiasi sawa na kile ambacho Lionel Messi analipwa na Barcelona ktk mkataba wake mpya pamoja na kile ambacho Neymar analipwa na PSG.
Ronaldo anataka kulipwa kiasi cha Euro 25 milioni kwa mwaka kulingana na mastaa hao wenye mikataba mipya ktk klabu zao lakini Madrid inamgomea kwa vile ilimpa mkataba mpya wa miaka mitano staa huyo Novemba mwaka jana tu.
Maoni
Chapisha Maoni