"Hili ni jambo la moto kabisa sasa, tunataka kubadilika. Tumepanga kujenga uwanja mkubwa wa kisasa ambao utabeba mashabiki 30, 000 hadi 40, 000
Tunataka hapa chamazi pabaki kuwa sehemu ya mazoezi tu"
Anasema Abdul huku akitabasamu.
Ujenzi utakuwa ni kinondoni, tuwe na subira tutaona mambo makubwa.
Huu uwanja wa hapa chamazi tupo kwenye mazungumzo na NMB ambao ni wadhamini wetu, tunataka kuubadilijinaCristiano uitwe NMB Stadium, tunauza haki ya jina. Anaeleza Abdul
Maoni
Chapisha Maoni