NYOTA Real Madrid, Marco Asensio hataki masihara hata kidogo na ndiyo maana klabu hiyo imemhakikisha ulaji klabuni hapo hadi mwaka 2023
Msimu uliopita, ulikuwa wa mafanikio kwa Asensio baada ya kufunga bao kwenye mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kwa kuongeza taji kwa timu hiyo ikitangulia lile la La Liga.
Straika huyo ameshacheza mechi 10 za timu yake na tayari ameshawachungulia makipa mara nne
Maoni
Chapisha Maoni