RAPA 50 Cent amedai alikataa dau la Dola 500,000 alizoahidiwa kupewa endapo angeshiriki kumpigia kampeni Donald Trump wakati wa kampeni za uchaguzi wa marekani
50 Cent ameeleza hayo wakati alipihijiwa ktk kituo cha Redio cha Us Station Hot 97 na kuelezea mtazamo wake kuhusu uongozi wa sasa wa Trump aliyeshinda uchaguzi huo.
Rapa huyo alidai kuwa tangu awali hakuonyesha kuvutiwa naye ndiyo sababu alikataa fedha hizo.
Maoni
Chapisha Maoni