Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

Mfanya biashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa orodha ya mabilionea mwaka 2017 iliyondaliwa na jarida la Forbes.

Mtanzania mohammed Dewji bado ndiye bilionea wa umri mdogo zaidi Afrika, Utajiri wake ukikadiriwa kuwa $1.09 bilioni.

1: Aliko Dangote, Nigeria
     Utajiri $12.2 Bilioni

2: Nicky Oppenheimer, Afrika kusini
    Utajiri $7 Bilioni

3: Mike Adenuga, Nigeria
    Utajiri $6.1 Bilioni

4: Johann Rupert, Afrika kusini
    Utajiri $6.3 Bilioni

5: Nassef sawiris, misri
    Utajiri $5.9 Bilioni

6: Christoffel Wiese, Afrika Kusini
    Utajiri $5.9 Bilioni

7: Nathan Kirsch, Swaziland
    Utajiri $3.9 Bilioni

8: Naguib Sawiris, misri
    Utajiri $3.8 Bilioni

9: Isabel dos santos, Angola
    Utajiri $3.1 Bilioni

10: Issad Rebrab, Algeria
      Utajiri $3 Bilioni

11: Mohamed Mansour, Misri
      Utajiri $27 Bilioni

12: Koos Bekker, Afrika kusini
       Utajiri $ 2.1 Bilioni

13: Allan Gray, Afrika kusini
      Utajiri $1.99 Bilioni

14: Othman Benjelloun, Morocco
       Utajiri $1.9 Bilioni

15: Mohamed Al Fayed, Misri
      Utajiri $1.82 Bilioni

16: Patrice Motsepe, Afrika kusini
      Utajiri $1.81 Bilioni

17: Yasseen Mansour, Misri
      Utajiri $1.76 Bilioni

18: Folorunsho Alakija, Nigeria
      Utajiri $1.61 Bilioni

19: Aziz Akhannouch, Morocco
      Utajiri $1.58 Bilioni

20: Mohamed Dewji, Tanzania
       Utajiri $1.4 Bilioni

21: Stephen Saad, Afrika kusini
      Utajiri $1.21 Bilioni

22: youssef Mansour, Misri
      Utajiri $1.15 Bilioni

23: Onsi Sawiris, Misri
      Utajiri $1.14

24: Anas Sefrioui, Misri
      Utajiri $1.06 Bilioni

25: Jannie Mouton, Afrika kusini
      Utajiri $1 Bilioni

Hii ndio top 25 ya matajiri wa kubwa Barani Afrika nasema hivi, Asante sana rafiki Tuwe pamoja hapa hapa Nakala zijazo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji

Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji Malighafi: 1. Sulphonic Acid Lt 2 2. Soda Ash Kg 1 3. Sless Lt 1 4. Chumvi Kg 1 5. Pafyumu /rangi Bluu 6. Maji Lt 35 _ 40 Jinsi ya kutangeneza Anza kwa kuweka lita 10 mara tatu, yaani lita 10 tena na mwisho lita 10, angalia uzito ongeza tena lita 5 na kisha lita 2 ikiwa uzito bado ongeza lita 2 na mwisho lita 1 4. Chumvi kg 1 3. Sless Lt 1 2. Soda Ash Kg1 1. Sulphonics Acid Lt 2 Hapo sijaweka rangi wala pafyumu kwa sababu ukiweka pafyumu lita 35 bila kufunika itaisha baada ya muda mfupi. Ni vema rangi na pafyumu uweke pembeni. Mfano: Chukua ndoo ya lita 10, weka rangi robo kijiko cha chai na pafyumu vijiko vya chakula viwili na koroga vizuri. Ni vema utumie pafyumu aina ya lemon. Sababu za kutoweka rangi sabuni yote: Wapo wateja hawapendi rangi na harufu kwa hiyo utawapa kila mtu kama atakavyo na kujaza kwenye chupa zako zenye mifuniko saa hiyo hiyo ukiachia muda inatoka harufu. Asante sana rafiki.

Fahamu jinsi ya kutengeneza sabuni ya vyoo

Sabuni ya kusafisha vyoo Malighafi. 1. Sulphonics Acid Lita 1 2. Soda Ash nusu 1/2 kilo 3. Sless 4. Chumvi 1/2 kilo 5. Maji lita 17 1/2 _ 20 6. Rangi kijani 7. Pafyumu 8. Formalin Jinsi ya kutengeneza Weka maji lita 5 kisha anza kukoroga, ongeza lita 5 kisha lita 5 tena na mwisho lita 2 4. Chumvi 1/2 kg 3. Sless nusu lita 2. Soda ash nusu kilo 1. Sulphonics Acid lita 1 Hapo sijaweka rangi wala pafyumu ni vinzuri kuweka kwenye ndoo lita 10 ya sabuni utaweka rangi kijiko 1 cha chai, rangi ya kijani pafyumu aina ya ' Rose two one ' au pino vijiko 5 vya chakula na Formalin vijiko 3 vya chakula. Formalin kwa ajili ya kuua wadudu ( bacteria ) ni vinzuri sana kuwemo kwenye sabuni ya chooni kwani ina kazi nyingi zaidi ya hiyo iliyotajwa Asante sana rafiki sasa chukua hatua ya kufanya hakika utafanikiwa sana

Somo: Roho mtakatifu Na mwl Christopher Mwakasege

Kushirikiana Na Roho Mtakatifu Anapotumia Moto kukuongoza ili utembee kwenye mapenzi ya mungu Biblia inafundisha ya kuwa wana wa mungu huwa wanaishi na wanatakiwa waishi kwa kuongozwa na roho mtakatifu ( warumi 8 : 14, 16, 17 ) Njia moja wapo anayotumia roho Mtakatifu kumwongoza mwana wa mungu, ni kwa kutumia moto wa mungu anaokuja nao ndani ya mtu anapoingia kukaa kwake Biblia inasema juu ya yesu ya kuwa yeye atawabatiza kwa roho mtakatifu na kwa moto ( luka 3 : 16 ) na siku ya pentekoste, wakati wanafunzi wa kwanza wa yesu, walipokuwa wamekutanika pamoja kukuwatokea ndimi zilizogawanyika, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao wote wakajazwa roho mtakatifu ( matendo 2 : 3,4 ) Unaposoma na kutafakari jambo lililotokea siku hiyo ya pentekoste, utajua kuwa kuna uhusiano kati ya ndimi za moto juu ya kila mmoja wao na kule kujazwa roho mtakatifu kwa kila mmoja wao ni dhahiri ya kuwa roho mtakatifu anaingia ndani ya kila mwana wa mungu akiwa pia na moto wa mungu pamoja nao kazi m...