Hii kutokana na kuulizwa swali hili na watu wengi ktk emal yangu.
Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whats app mbili tofauti kwenye simu moja.
Leo nitatoa maelekezo mafupi ambayo yata kuwezesha kutumia whats app mbili kwenye simu yako.
Fanya hatua zifuatazo.
Download App inayoitwa parallel space kwenye play store.
Hatua ya pili:
Kama simu yako ni laini moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whats app yako ya pili.
Hatua ya tatu:
Install application uliyo download kwenye step 1( parallel space ) kisha fungua
Hatua ya nne:
Utkapofika kwenye kipengele kinachotaka kuweka namba ya simu hapo utaweka namba yako ya pili ili uweze kuwa na what's app mbili.
Hatua ya tano:
Utaendelea na steps za kawaida kama ulivyo jiunga na what's app ya kwanza mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na tuanza kutumia whats app mbili kwenye simu moja.
Maoni
Chapisha Maoni