Sabuni ya unga
Malighafi.
A. Solphonic lita 1
B. Sodium sulphate kilo 3
C. Optical brightener vijiko 10 vya chakula
D. Nausa vijiko 10 vya chakula
E. Soda ash kilo 3
F. Pafyumu kijiko 1 cha chakula
G. Rangi kijiko 1 cha chakula
Jinsi ya kutengeneza
Andaa malighafi kwa resho kama ilivyoandikwa hapo juu,
Beseni na mwiko, kisha weka kimoja kimoja ukianza na herufi A __ G, huku ukikoroga mseto wako kwa muda wa dakika 15 halafu anika sehemu yenye hewa kivulini hadi ikauke.
Hapo sabuni yako ya unga itakuwa tayari, iweke kwenye vifungashio ipeleke aokoni
Maoni
Chapisha Maoni