Mwili wa mnyama siyo mkavu kama vile jiwe.
Mwili una majimaji. Mifupa huonekana mikavu. Lakini kwa kweli ina kiasi fulani cha maji Tukisikia kiu tunakunywa maji. Kiu ni ishara ya jambo gani?
Tukisikia kiu maana yake maji yamepungua mwilini.
Hivyo, kila wakati mwili unahitaji kuwa na maji kiasi fulani.
Kwa nini mwili unahitaji maji?
Mwili ni lazima ufanyr kazi zake za ndani ambazo ni za muhimu kwa uhai.
Kazi hizo haziwezi kutendeka bila kuwepo maji. Hivyo bila maji hakutakuwa na uhai.
1: Utengenezaji wa sabuni za mche Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __ 300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki
Maoni
Chapisha Maoni