Magamba huwawezesha moluska kubaki salama licha ya misukosuko mingi ya baharini.
Uwezo wa magamba ya molyska wa kuwalinda viumbe hao umewchochea wa handisi kuchunguza muundo wake ili waunde magari na kujenga nyumba zinazoweza kuwalinda wale waliomo ndani.
Fikiria jambo hili: Wahandisi walichunguza aina mbili za magamba. Aina moja ni ile ya magamba yenye umbo la pia.
Wachuguzi walitambua kwamba miinuko iliyopo ktk koambili huelekeza msukumo iliyopo ktk koambili huelekeza msukumo kwenye muungano wa koa hizo na pia kwenye kingo zake.
Kwa upande mwingine, kujipindapinda kwa magamba yenye umbo la pua huelekeza msukumo kwenye mhimili wa koa na ktk sehemu ya juu iliyotanuka.
Ktk visa vyote viwili, ilionekana kwamba muundo wa magamba uliyawezesha kuelkeza nsukumo kwenye maeneo imara,hivi kwamba hata ikiwa gamba lenyewe lingeharibika, kiumbe aliye ndani hangedhurika.
Watafiti pia walilinganisha uwezo wa kuhimili nsukumo wa magamba halisi na nengine yaliyotengenezwa kwa mashine lakini yasiyokuwa na madoido yoyote.
Uchuguzi huo ulionyesha kwamba muundo tata wa magamba halisi ulifanya yawe na uwezo w kuhimili msukumo mara mbili zaidi ya yale yaliyotengenezwa kwa mashine.
Tivoti ya scientific American ilisema hivi kuhusu matokeo ya utafiti huo: " Ikiwa utaendesha gari lililo na umbo la magamba [ ya moluska ] siku moja, litakuwa la kisasa ba pia lililoundwa kwa njia ya pekee ili kuwakinda wale walio ndani."
Maoni
Chapisha Maoni