Sauti kutokana kwenye chanzo husambaa. Ukitoa sauti huweza kusikia sehemu zote zilizo karibu na ulipo.
Mara nyingine sauti inapotolewa husikika mara mbili mfululizo.
Sauti inayogonga kizuizi ndiyo inayosikika kama vile inarudia. Sauti hiyo inayorudia hukulikana kama mwangwi.
Leo tunaishia hapa juma lijalo tutajivunza Namna mwangwi unavyotokea. Hapa hapa msikivu blog
1: Utengenezaji wa sabuni za mche Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __ 300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki
Maoni
Chapisha Maoni