Uhisiano wa mzazi na mtoto huzaa vitu vingi sana. Vipo ambayo utavijua lakini pia vipo vingine vinavyoweza kuwa vigumu kuvitambua.
Kwani mara nyingi vitisho na ukali wa wazazi huwasukuma watoto kusema uongo.
Mtandao wa malezi wa indiaparenting.com umeeleza kwa kirefu maneno hayo na kuyachambua kama ifuatavyo.
. Sijui
. Nishamaliza " Homework yangu "
. "Sikufanya mimi"
. Kaka huyo au dada huyo
. Nimeshamaliza chakula
.Naogopa
. Nitafanya
. Imepotea
. Naumwa
. Nataka kwenda chooni
Haya ni baadhi ya maneno matamu kwa watoto kuya sema, Tuchukue neno moja kati ya hizo ili tufanunue kwa pamoja
Nitafanya
Kauli hii pia hutumiwa na watoto pale anapoona kuna kila dalili za kuadhibiwa kutokana na kitu alichofanya. Hivyo ili kufupisha mjadala huweza kujibu hivi pale anapoulizwa na mzazi ama mlezi wake
Kwa leo tutaishia hapa ila kumbuka kuungana nami juma lijalo asante sana rafiki yangu
Maoni
Chapisha Maoni