Kutokwa kwa damu puani hutokea kutokana na pua au sehemu za uso kuumizwa.
Vile vile ikiwa sehemu ya uso na pua zinakutanishwa na kitu chenye hali joto tofauti sana.
Wakati mwingine hasa asubuhi damu huweza kutoka puani kutokana na kutokawa puani kutokana na kunawa uso maji ya baridi sana.
Mlaze chali mhusika, lowanish kitambaa ktk maji baridi.
Kiweke kitambaa hicho ktk paji la uso wake.
Unaweza kutumia kitu kingine chochote baridi mradi kiwe safi kama mkufuwa metali.
Mara nyingine sio lazima mhusika kulala chali.
Hata hivyo inabidi kubana pua yake ili damu isidondoke.
Wakati huo weka kitambaa kilicholoweshwa maji baridi ktk paji lake la uso au kitu kingine chochote cha baridi.
Ikiwa damu itaendelea kutoka mpeleke haraka kwa daktari.
1: Utengenezaji wa sabuni za mche Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __ 300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki
Maoni
Chapisha Maoni