Kukimbia taratibu ( jogging )
Kukimbia ni miongoni mwa njia bora za kupunguza mafuta mwilini.
Unaweza kujijengea utaratibu wa kukimbia kila siku jioni na asubuhi ktk eneo linalozunguka sehemu unayoishi.
Zoezi hili mara nyingi husaidia kuimarisha sehemu mbalimbali za mwili, pamoja na kupunguza ukubwa wa matiti.
Unatakiwa kukimbia angalau dakika 20 kwa siku.
Hili ni zoezi rahisi na lenye kuleta matokeo kwa muda mfupi sana. Pia husaidia kuimarisha misuli ya mabega na kifua.
Hivyo matiti makubwa. Yanaweza kupunguzwa kwa kufanya push.
Lala chini kifudifudi, nyoosha miguu yako, shikilia vizuri mikono yako sakafuni ukiwa umeinyoosha.
Hakikisha umejishikilia vizuri na kisha jisukume kwenda chini na baadaye kuja juu bila kulalia sakafu. Fanya hivyo angalau mara tani
Pia kumbuka kufanya mazoezi ya viungo kila jioni kama kucheza mpira nk
Kwa kawaida mazoezi ya viungo hutumia kati ya dakika 20,30
Asantea sana rafiki yangu nina kukaribisha hapa hapa msikivu
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji Malighafi: 1. Sulphonic Acid Lt 2 2. Soda Ash Kg 1 3. Sless Lt 1 4. Chumvi Kg 1 5. Pafyumu /rangi Bluu 6. Maji Lt 35 _ 40 Jinsi ya kutangeneza Anza kwa kuweka lita 10 mara tatu, yaani lita 10 tena na mwisho lita 10, angalia uzito ongeza tena lita 5 na kisha lita 2 ikiwa uzito bado ongeza lita 2 na mwisho lita 1 4. Chumvi kg 1 3. Sless Lt 1 2. Soda Ash Kg1 1. Sulphonics Acid Lt 2 Hapo sijaweka rangi wala pafyumu kwa sababu ukiweka pafyumu lita 35 bila kufunika itaisha baada ya muda mfupi. Ni vema rangi na pafyumu uweke pembeni. Mfano: Chukua ndoo ya lita 10, weka rangi robo kijiko cha chai na pafyumu vijiko vya chakula viwili na koroga vizuri. Ni vema utumie pafyumu aina ya lemon. Sababu za kutoweka rangi sabuni yote: Wapo wateja hawapendi rangi na harufu kwa hiyo utawapa kila mtu kama atakavyo na kujaza kwenye chupa zako zenye mifuniko saa hiyo hiyo ukiachia muda inatoka harufu. Asante sana rafiki.
Maoni
Chapisha Maoni