Beki wa zamani wa Arsenal, Thonmas vermaelen, 31, amedai Barcelona ilimzuia asijiunge na Everton ktk dirisha kubwa lililopita la majira ya joto licha ya kupoteza namba yake ktk kikosi hicho kocha wa Everton, Ronald Koeman alikuwa anamtaka staa huyo kwa ajili ya kuimarisha safu ya ulinzi.
Maoni
Chapisha Maoni