ROONEY ALIYEREJEA GOODSON PARK WIKI SBA ZILIZOPITA, mahali ambako alianza soka lake kabla ya kununuliwa na kwenda kuwa staa mkubwa Manchester United, ameanza kupoteza mvuto mapema ktk kikosi cha koeman.
Uwepo wa kiungo fundi Gylfi sigurdsson aliyenunuliwa kwa pauni 45 milioni kutoka swansea city na kurejea kwa Niasse, ambaye msimu uliopita alicheza kwa mkopo Hull city, kunamfanya Rooney kuwa na wakti mgumu wa kuwa mchezaji tegemeo.
Rooney ( 31 ) anahitaji kurekebiaha makosa yake na kurejea imani kwa koeman , ambaye aliishawishi bodi kumrejesha tena staa huyo kutoka United ambako alipoteza namba yake chini ya jose mourinho
Mshahara wake wa Rooney ni £150, 000
Maoni
Chapisha Maoni