HAKIMU Mkazi mfawidhi wa mahakama ya kisutu, Cyprian Mkeha, jana Ijumaa hata kabla wikiendi haijaanza alimwachia huru mwanachama tajiri wa yanga, Yusuf manji, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha shtaka la kutumia dawa za kukevya
Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mkeha alisema ameshindwa kumtia hatiani mshtakiwa hivyo anamuachia huru.
Awali, Yusuf manji alidai kuwa yeye ana matatizo ya moyo ya kuridhi kutoka kwa babu zake ambao walikwishafariki kwa ugonjwa huo.
Maoni
Chapisha Maoni