STAA Wa zamani wa chelsea na PSG, Alex amemshauri winga wa kimataifa wa Brazil wa PSG, Lucas moura, 25, kuondoka ktk klabu hiyo ya ufaransa na kwenda kujiunga na Arsenalbkwa ajili ya kuokoa kipaji chake.
Moura anasota benchi zaidi baada ya ujio wa mastaa wawili PSG, Neymar kutoka Barcelona na Alex amemshauri staa huyo kuondoka.
Maoni
Chapisha Maoni