Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Daley Blind: Ninawindwa na Fenerbahce

Fenerbahce inaangalia uwezekano wa kumchukua beki wa Manchester United, DaleyBlind ambaye hana uhakika wa nafasi ktk kikosi cha kocha, jose mourinho na anaweza kuondoka januari.

Blind alianza ktk mechi tatu za mwanzo za England dhidi ya west ham, swansea na west ham

Maoni