Real madrid iko mbioni kumsajili straika wa PSG, Edinson Cavani, ktk dirisha dogo januari, mwakani.
Klabu hiyo inasaka mpachika mabao mahiri, ambaye ataongrza nguvu ktk kikosi hicho baada ya nyota wake Cristiano Ronaldo, karim Benzema na Gareth Bale kushindwa kung'ara msimu huu.
Maoni
Chapisha Maoni