Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Biblia

Je, unaamini kwamba biblia ni kitabu cha mungu? Au je inafikiri kwamba ni kitabu tu kilichojaa mawazo ya wanadamu ?

Huo ni mhadala unaoendelea hata kwa wale wanaodai kuwa wakristo.
Kwa mfano, utafiti uliofanywa nchini marekani na kampuni inayoitwa Gllup mwaka wa 2014, ulionyesha kwamba watu wengi ambao ni wakristo wa akawaida wanaamini kwamba " kwa upande mwingine, utafiti huo ulionyeaha kuwa, mtu mmoja kati ya watano waliohojiwa anaamini kwamba Biblia ni kitabu chenye " hekaya za kale, mafumbo, historia, na mafundisho ya wanadamu. " maoni hayo yenye kupingana yanafanya tufikirie kwa makinikile kinachomaanishwa hasa na usemi, Biblia ' imeongozwa na roho ya mungu .' 2 Timotheo 3:16

Imeongozwa na roho ya mungu jinsi gani

Biblia ina vitabu vidigo 66, ambavyo viliandikwa na watu wapatao 40 kwa kipindi cha miaka 1,600 hivi.

Lakini ikiwa Biblia iliandikwa na wanadamu, ni kwa njia gani " imeongozwa na roho ya mungu " ? Kw ufupi usemi, Biblia 'imeongozwa na roho ya mungu' unamaanisha kuwa mungu ndiye chanzo cha habari zote zilizoandikwa.

Biblia inaeleza hivi: " wanadamu walisema yaliyotoka kwa mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu." ( 2 petro 1: 21 ) kwa maneno mengine, mungu alitumia nguvu yake ya utendaji isiyoonekana, yaani, roho takatifu, ili kuputisha ujumbe wake kwa waandikaji wa vitabu vya Biblia.

Hilo linaweza kulinganishwa na mfanyabiashara anayemwambia karani wake mambo ya kuandikwa na karani, mawazo yaliyoandikwa si yake bali ya yule mfanyabiashara.

Baadhi ya waandikaji wa Biblia walisikia ujumbe wa mungu kupitia malaika.

Wengine waliona maono kutoka kwa mungu.
Ktk visa fulani, mungualiruhusu waandikaji watumie maneno yao wenyewe kuandika ujumbe wake, nyakati nyingine aliwaambia maneno hususa ya kuandika.

Ktk kila kisa, waandikaji waliwasilisha mawazo ya mungu wala si mawazo yao.

Tunawezaje kuwa na uhakika kwamba mungu ndiye aliyewaongoza waandikaji wa Biblia? Fikiria mambo matatu yanayoimarisha uhakika wa kwamba Biblia imeongozwa na roho ya mungu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji

Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji Malighafi: 1. Sulphonic Acid Lt 2 2. Soda Ash Kg 1 3. Sless Lt 1 4. Chumvi Kg 1 5. Pafyumu /rangi Bluu 6. Maji Lt 35 _ 40 Jinsi ya kutangeneza Anza kwa kuweka lita 10 mara tatu, yaani lita 10 tena na mwisho lita 10, angalia uzito ongeza tena lita 5 na kisha lita 2 ikiwa uzito bado ongeza lita 2 na mwisho lita 1 4. Chumvi kg 1 3. Sless Lt 1 2. Soda Ash Kg1 1. Sulphonics Acid Lt 2 Hapo sijaweka rangi wala pafyumu kwa sababu ukiweka pafyumu lita 35 bila kufunika itaisha baada ya muda mfupi. Ni vema rangi na pafyumu uweke pembeni. Mfano: Chukua ndoo ya lita 10, weka rangi robo kijiko cha chai na pafyumu vijiko vya chakula viwili na koroga vizuri. Ni vema utumie pafyumu aina ya lemon. Sababu za kutoweka rangi sabuni yote: Wapo wateja hawapendi rangi na harufu kwa hiyo utawapa kila mtu kama atakavyo na kujaza kwenye chupa zako zenye mifuniko saa hiyo hiyo ukiachia muda inatoka harufu. Asante sana rafiki.

Utengenezaji wa sabuni

1: Utengenezaji wa sabuni za mche     Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __  300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki

Fahamu jinsi ya kutengeneza sabuni ya unga

Sabuni ya unga Malighafi. A. Solphonic lita 1 B. Sodium sulphate kilo 3 C. Optical brightener vijiko 10 vya chakula D. Nausa vijiko 10 vya chakula E. Soda ash kilo 3 F. Pafyumu kijiko 1 cha chakula G. Rangi kijiko 1 cha chakula Jinsi ya kutengeneza Andaa malighafi kwa resho kama ilivyoandikwa hapo juu, Beseni na mwiko, kisha weka kimoja kimoja ukianza na herufi A __ G, huku ukikoroga mseto wako kwa muda wa dakika 15 halafu anika sehemu yenye hewa kivulini hadi ikauke. Hapo sabuni yako ya unga itakuwa tayari, iweke kwenye vifungashio ipeleke aokoni