Kwa karne hii ktk mahusiano mengi ya kimapenzi, ukiaacha na suala zima la ugonjwa wa ukimwi kwa sasa limeingiwa gonjwa jipya, na gonjwa hili limesababisha mahusiano mengi kuingia matatani na si matatani tu bali wakati mwingine linepeleka mahusiano mengi kufa kabisa
MIONGONI MWA SABABU AMBAZO ZINAZOCHANGIA WATU WENGI KUCHEPUKA NI KAMA IFUATAYO
Kutoridhishwa ktk tendo la ndoa:
Kume kuwepo na malalamiko mengi na yatofauti baina ya wanandoa wanaume na wanawake ktk suala hili, wanaume wanalalamika kwamba wake zao mara baada ya kuolewa na hususani wakishapata watoto wanaanza kuwa wazembe na wasiojituma kwenye tendo la ndoa kama walivyokuwa awali
Tafiti zinaonyesha kwamba mara mwanaume anapohisi kutoridhishwa kwenye tendo la ndoa ananafasi kubwa zaidi ya kutoka nje mapema kuliko mke wake.
Wanawake wanauvumulivu wa ziada na kwa wale waliotoka nje ya ndoa zao walifanya hivyo baada ya uvumilivu wa mikoa mingi na kukosa tumaini.
Kutoridhishwa ktk tendo la ndoa kunaweza pia kusababishwa na maumbile ya mwili, kkupoaano watu wenye mwili mkubwa na uzito mkubwa.
Penzi kupoa au kufa:
Penzi linapopoa au hata linapokufa huwa hali huwa inaonyesha wazi kabisa.
Kwenye kupoa mhusika anaweza kuanza kujihisi ndani ya moyo wake kutompenda mwenzake kama alivyo kuwa akimpenda awali inawezekana mwenzake hajagundua kuanzia mwanzoni kwamba penzi la mpenziwake lime poa ila kama hali ya kupoa huku itaendelea lazima itagundulika.
Baadhi ya vitu dhahiri vitakavyoweza kukufanya ufahamu kwamba penzi la mwenzako limepoa au kufa sasa sababu zipo nyingi mfano wa sabbu ni ushawishi wa matrafiki, ushawishi wa marafiki. Nk ila leo tutaishia hapa
Asante sana
Maoni
Chapisha Maoni