Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Kiungo wa england Dele Alli amefungiwa

KIUNGO wa England, Dele Alli amefungiwa mechi moja ya kimataifa ya kuwania kufuzu kombe la Dunia baada ya kuonyesha mashabiki kidole cha kati ktk mechi dhidi ya slovakia.

Pia metozwa faini ya pauni 3,852 na Fifa kwa kitendo cha utovu wa nidhamu mchezoni

Maoni