Watafiti nchini marekani wanasema kuwa jaribio ambalo vijana wa marekani walitumia mpira wa mviringo kujilinda na virusi vya HIV limefanikiwa.
Utafiti zaidi sas utafanyiwa vijana barani Afrika wasichana walitumia mviringo wa plastiki uliowekwa dawa za kujilinda na ukimwi, ambao hulibadilishwa kila mwezi baada ya kipindi cha miezi sita.
Ni moja wapo ya mipango ya kutengeza kifaa ambacho wanawake watatumia kujilinda dhidi ya maombukizi ya HIV ili wasiweze kuwa tegemea wanaume kuvaa mipira ya kondomu.
Wakiripoti ugunduzi huo mpya kuhusu virusi vya HIV mjini paris, watafiti walisema kuwa wana furahi kwamba wasichana hao walitumia mviringo huo na kusema kuwa wameupenda.
Wanawake na wasichana walio na kati ya umri wa miaka 15 __ 24 wanadaiwa kuwa moja kwa tano ya visa vyote vya maambukizi vya HIV duniani.
Takribani wanawake 1000 huambukizwa virusi kila siku ktk afrika ya jangwa la sahara
1: Utengenezaji wa sabuni za mche Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __ 300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki
Maoni
Chapisha Maoni