1: kuchagua
Mwanadamu ye yote mwenye haki ya kuishi hapa duniani anahitaji upeo wa hali ya juu sana ili kufanikiwa, haiwezekana kabisa ukasema unahutaji mafanikio harafu ukashindwa kuchagua kile kilicho chema kwako
Maisha ya wengi yamekuwa mashakani kwa sababu wengi wetu tumeshindwa kuchgua vitu sahihi vya kufanya hivi huja wahi kuona mtu analalamika ya kwamba biashara ngumu Bila shaka utakuwa umewahi kuonana na watu wa aina hii.
Lakini ukifanya uchunguzi wa kina juu ya jambo hili utagundua ya kwamba mtu huyo halikuwa chaguo lake kufanya biashara hiyo, ila alifanya baada ya kuona mtu fulani anafanya biashara hiyo
Suala ya kutofanya uchaguzi sahihi si kwa mfanya biashara tu,
Ila suala la watu wengi kushindwa kufanikiwa mara nyingi. Hapa ndipo ambapo nakumbuka ule usemi ambao husema ya kwamba ni heri ukosee njia ya kupita ila si kukosea kuchagua mke wa kuoa.
Kama ilivyo ktk usemi huo nami nasema ya kwamba kama tutashindwa kufanya uchaguzi wa vitu vya kufanya ma hakika tutakufa maskini huku tukuziacha ndoto zetu kubwa ziweze kupotelea hewani
Huvyo kwa kuwa wewe ni nwenye mamlaka ya kutaka kuona unatimiza malengo yako, hakikisha ya kwamba unafanya mambo ambayo umeyachagua mwenyewe au kwa sababu mtu mwingine amekwambia ufanye kwani endapo utachaguliwa jambo la kufanya hautalitenda kwa ufasaha
2: Uhuru
Baada ya kufanya uchunguzi wa jambo ambalo unalitaka kulifanya, jambo la pili unahitaji uhuru wa kutenda jambo hilo.
3: Uwajibikaji
Hakuna mafanikio ya kweli kama utayafanya nyote ambayo nimeyabainisha hapo juu na ukashindwa kulifanyia kazi hili la tatu kwa jambo lolote ambalo umelipanga kulifanya unahitaji kuweza kulitekeleza kwa kiwango cha juu sana, haiwezekani ukawa mvivu halafu ukategemea eti ndoto zako zitakuwa kweli.
Ni weke nukta kwa kusema nakutakia siku njema na mafanikio mema.
Maoni
Chapisha Maoni